Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Utangulizi Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo… Nasogea...
3 Reactions
60 Replies
8K Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
19 Reactions
247 Replies
2K Views
Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu. Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha. Kitu kingine...
25 Reactions
60 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
9 Reactions
58 Replies
850 Views
Mambo vipi wazee? Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba. Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji...
7 Reactions
16 Replies
125 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
12 Reactions
105 Replies
3K Views
Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya bibie Fyandomo amesema Mtu akienda Mbeya hawezi jua mjini ni wapi Kutokana na Mpungilio wa Jiji lenyewe. Akaonheza kwamba watu wa Mbeya wanataka Jiji lao...
7 Reactions
93 Replies
1K Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
24 Reactions
74 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,684
Posts
49,725,034
Back
Top Bottom