Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hilo eneo la Gaza ni kubwa kiasi gan kiasi cha wapiganaji wa Hamas kutodhibitiwa? Imeripotiwa kuwa wanaendelea kurusha maroket kuelekea Tel aviv. Je hiyo mifumo ya ulinzi ya Israel inashindwa...
1 Reactions
9 Replies
105 Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
7 Reactions
190 Replies
4K Views
Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla? 1. Immigration - ili upate passport...
0 Reactions
6 Replies
114 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
3 Reactions
6 Replies
150 Views
Kama wapo nisaidieni kuwatag. Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k. Nimepiga simu namba yao huduma niliyopata sijalizika...
9 Reactions
56 Replies
840 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
2 Reactions
10 Replies
144 Views
My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
10 Reactions
239 Replies
4K Views
Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress...
21 Reactions
96 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,478
Posts
49,718,489
Back
Top Bottom