Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Shusho amlilia lowasa
0 Reactions
1 Replies
23 Views
Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
15 Reactions
308 Replies
4K Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
15 Reactions
52 Replies
960 Views
Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa...
1 Reactions
10 Replies
67 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya...
4 Reactions
17 Replies
169 Views
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri. Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin...
16 Reactions
85 Replies
2K Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae( Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
8 Reactions
107 Replies
629 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Jukumu kubwa lililo mbele ya Watanzania wote wakati huu tunapoisaka Katiba Mpya ni Kufuta Ujinga, kwa sababu Ujinga wa Taifa unawarahisishia...
15 Reactions
116 Replies
2K Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
12 Reactions
77 Replies
2K Views
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
2 Reactions
33 Replies
226 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,653
Posts
49,724,037
Back
Top Bottom