Habari za jioni.
Napendekeza toleo lijalo la noti zetu za Tanzania ziwe za nylons kama krona za Sweden.
Pesa ya nylons (nailon) kama sijakosea haziharibiki kirahisi hata ukiikunja zina mvuto...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Uswisi inaratajia kuwaalika washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa mbalimbali katika mkutano utakaolenga kuleta amani na upatanishi wa Ukraine na Russia.
Mkutano huo unatarajia kufanyika kwa siku...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara.
1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni...
Nimeona clip ya RC Makonda akiwa Longidi na kisha yamefuatia malalamiko kutoka Kituo cha Haki za Binadamu pale Kijitonyama na sasa Umoja wa Wanawake wa CCM
Kufikia kesho siyo ajabu tukawasikia...
Wakuu,
Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake.
Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
Habari.
Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.