Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwako mdau, Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo. Ushauri uwe ume base kwenye eneo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
11 Reactions
79 Replies
922 Views
Habari Zenu Ndugu Zangu wa Jamii Forums, Mimi Ni Kijana Mwenye Umri wa Miaka 28 Naishi Chanika Dar es salaam, Ninachangamoto Ya Kutafuta Ajira Ndugu zangu Elimu Yangu Ni Kidato Cha Nne Ngazi Ya...
2 Reactions
9 Replies
27 Views
Wakuu si vibaya kupeana mikakati ya kukabiliana na janjajanja za hawa wenzetu wenye mawazo kutudidimiza kwa faida zao. Maana na wao kila uchao wana mbinu mpya. Mimi kwakweli nimeanza kuwaogopa...
2 Reactions
14 Replies
114 Views
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Amani ya Umoja wa Afrika AU bwana Mousa Faki ameoneshwa kukerwa na jproji wa chaguzi na mapinduzi Barani Afrika. Bwana Faki alikuwa akizungumza Dar kwenye maazimisho ya...
1 Reactions
4 Replies
85 Views
Kabla hujasoma jua kua Nimecopy na kupaste kutoka twitter kwa @NikkiWa111 The Story: Muda huu nikiwa narudi kutoka mihangaikoni, naona watu wengi, bodaboda wengi wamekaa vikundi vikundi, kiasi...
10 Reactions
222 Replies
10K Views
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri. Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
24 Reactions
103 Replies
1K Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa...
9 Reactions
48 Replies
436 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,064
Posts
49,705,048
Back
Top Bottom