KATIKATI YA KIPINDI TANESCO WANAZIMA
Mahojiano yamepamba moto camera zina "roll," mara paa umeme umekatika.
Kiza totorooo...
Jicho la camera kama jicho la binadamu halioni kwenye kiza...
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri.
Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
Mim nilikuwa nashauri serikali ianzishe mpango kazi mzurii juu ya kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho kwa njia ya mtandaoni(online)ambapo mwananchi ataweza kuweka tarifa zake mtandaoni akiwa...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Wanawake kuweni sana makini this time watu...
Habari wana JF, nimeapply hizi nafasi za kazi za jeshi zilizotolewa Mei, 2024.
Je, nitegemee nini baada ya kupita usaili?
Nina degree nmeapply kwenye Kategoria ya Forensics. Naomba kujua...
wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana
yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni...
Kuna watu wanajikuta wanajibu kila tuhuma zinazosambazwa kuhusu wao ila kama wangefahamu akili za wanaowasambazia wangekaa tu kimya
UKIWASIKILIZA VIZURI UNAGUNDUA YAFUATAYO
1. Wanaongea kwa...
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.