Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel.
Meli hiyo...
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa...
Kwa mwenendo huu naona club ya Yanga ikitawala league ya ndani kwa miaka mingi ijayo.
Sioni mipango mikubwa kutoka club ya Simba, Azam. Naona Mambo yale Yale yakiendelea.
Hofu yangu ni kwamba...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amewataka wananchi wa Msomera kuhakikisha wanaibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia kwa vitendo kuunga mkono jithada za serikali Ili kulinda mazingira...
Wakuu,
Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.
Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi.
vitu ninavoogea
1. Deto ya maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.