Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU).
BY ISSAI SINGANO .
(Singano jr).
DIBAJI
Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
Wakuu kwema?
Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live?
Game ni saa 4:00
Ahsanta
Ndugu zangu Watanzania,
Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa...
KARIBUNI KWA NGUO NA VIATU VIZURI KUTOKA INDIA,UTURUKI,HONG KONG NA VIETNAM
NAPATIKANA UPANGA DAR ES SALAAM
0678096545
Delivery ya viatu kwa Dar es salaam ni bure
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Ajira ni tatizo kubwa linalozikumba nchi nyingi duniani, tatizo hilo linajulikana kama (Global Problem) likiwa na maana ya tatizo la kidunia. Kutokana na ripoti iliyotolewa na Decent Job for Youth...
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
YEHOVA kama...
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.