Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
9 Reactions
121 Replies
2K Views
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
2 Reactions
26 Replies
265 Views
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
15 Reactions
55 Replies
689 Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
23 Reactions
145 Replies
3K Views
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
12 Reactions
185 Replies
5K Views
Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari...
23 Reactions
147 Replies
3K Views
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram...
14 Reactions
52 Replies
946 Views
Naombeni kujuzwa ni kwanini waganga wa kienyeji wanazikwa wakiwa wamekaa kwenye kiti pia makaburi yao ni mviringo kama kisima,mwenye uelewa ni kwanini anijuze Na JE?ikitokea amezikwa kawaida nini...
1 Reactions
1 Replies
17 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,946
Posts
49,646,003
Back
Top Bottom