Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nipo kwa nyumba ya kupanga nimeagiza mbuzi wa kufuga, hapo napoishi kuna jamaa naona anafungia mbuzi kamba wanajilea tu, sina kwa kuwalaza usiku ila mchana haina shida. Nawaza nikiwaleta...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
On point, kama familia yako huwezi kupata milo mitatu kwa siku hio familia ni duni au masikini, kwaio kama unajua kabisa wewe ni mchana na usiku tu ndio unapata chakula basi work hard my bro ili...
4 Reactions
17 Replies
133 Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema amekabidhiwa gari lake lililokuwa kituo cha police likiwa halina plate number Lisu amesema ana Taarifa number za Gari lake zinatumiwa na Mtu...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
2 Reactions
20 Replies
185 Views
wachimbaji visima virefu Tanzania pia tunafanya tafiti za maji ardhini (surveying) mikoa yote tupo kwa maelezo sahihi ya mteja wapi upo mkoa gani na sehemu gani basi wasiliana nasi kwa namba...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama...
1 Reactions
24 Replies
154 Views
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
14 Reactions
79 Replies
2K Views
Wanajukwaa, Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
3 Replies
41 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC...
10 Reactions
22 Replies
881 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,942
Posts
49,645,864
Back
Top Bottom