Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi...
16 Reactions
106 Replies
4K Views
Kipindi cha uongozi wa Raisi Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news. Lakini Cha ajabu...
2 Reactions
22 Replies
102 Views
  • Suggestion
Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo...
10 Reactions
50 Replies
398 Views
Kuna maaskari wameanza kulalamika mitandaoni kuhusu kiwango cha fedha wanachopata wanapoostaafu. Wanalalamika wakati ambao wao wenyewe ndio walisimamia kikokotoo kitumike. Najiuliza walidhani...
1 Reactions
6 Replies
136 Views
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana . Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana. Mwanamke akikupenda...
11 Reactions
70 Replies
2K Views
Habari za asubuhi mabibi na mabwana, ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Naomba kuuliza Kwa wenyeji wa Tabora na maeneo mengne ya Tanzania mwenye uelewa kuhusu huu mgodi upo maeneo gani...
2 Reactions
1 Replies
35 Views
  • Poll
BAYER 04 LEVERKUSEN VS ATALANTA BC Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Europa League Finali leo na kwa nini?
1 Reactions
3 Replies
30 Views
DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, ZANZIBAR Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha...
10 Reactions
65 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,896
Posts
49,676,057
Back
Top Bottom