Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
10 Reactions
73 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani yasema haijaidhinisha safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini humo Msemaji wa Marekani mh Andrew amesema " kwa kweli Marekani haijalipia ndege ya kukodi ya Rutto kwenda Marekani...
2 Reactions
6 Replies
87 Views
Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news. Lakini Cha ajabu...
5 Reactions
97 Replies
601 Views
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda...
5 Reactions
59 Replies
839 Views
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali...
2 Reactions
24 Replies
126 Views
Kwa bajeti ya 400k napata simu Gani nzuri Mpya na iwe portable maana spend simu kubwa nakalbisha ushauri
1 Reactions
4 Replies
55 Views
Wanaukumbi. Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya...
2 Reactions
26 Replies
406 Views
Our grandfathers never told us about this part of slavery.
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa...
3 Reactions
97 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,927
Posts
49,677,153
Back
Top Bottom