Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni...
1 Reactions
11 Replies
44 Views
JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%. Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na...
7 Reactions
22 Replies
631 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia...
9 Reactions
90 Replies
845 Views
Sio jambo rahisi sana kujitoa mhanga kuyasema haya , na kipekee nimshukuru Maxence Melo kwa kuweka jukwaa hili ,linasaidia sana kupashana habari. Niwafungue macho kidogo ,eGA kupelekwa wizara ya...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
  • Sticky
Heri ya Pasaka wana JamiiForums, Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum. Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo...
109 Reactions
205 Replies
23K Views
Baada ya Hotuba hii kuwekwa hadharani, ndio mtajua maana halisi ya Unafiki wa viongozi wa Tanzania, Yaani mtu kashambuliwa halafu kaandaliwa na hotuba ya mazishi yake, hili jambo hata shetani...
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza...
4 Reactions
19 Replies
157 Views
Ipo hivi uyu ni Dada kabisa,anamfalakano kwenye ndoa yake. Yeye alianza na uyu mwanaume toka shuleni,toka wanasoma mpaka sasa, na wamebalikiwa kupata watoto, wawili na uyo mwanamme,yeye ni...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona...
6 Reactions
56 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,792
Posts
49,641,221
Back
Top Bottom