Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali...
Wanaukumbi.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya...
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant
Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
Kumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa...
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Serikali ya Marekani yasema haijaidhinisha safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini humo
Msemaji wa Marekani mh Andrew amesema " kwa kweli Marekani haijalipia ndege ya kukodi ya Rutto kwenda Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.