Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13
Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha
---
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu...
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
Maisha ya sasa yamebadilika Kumwachia Mungu kila kitu nahisi nae anachoka wakati mwingine.
Kuna kazi nataka kuwapa watu/mtu atakae iweza kwa Dau atakalo litaka.
Kazi ataifanya yeye na Team Yake...
Naomba mnipe haki yangu ya kuuliza kile ambacho nakishuhudia katika makundi, jamii na nchi mbali mbali.
Yaani katika muunganiko au mkusanyiko wa wa level yeyote ile, iwe familia, ukoo, wilaya...
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex.
Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja.
Mechi hii itapigwa...
Wakuu, sometimes nahisi najikosea
Haiwezekani kipindi sina pesa nawaza Mambo ya kuanzisha miradi mbalimbali na kujiwekea mikakati ya kutosha.
Sasa kizungumkuti nizipate napeleka chap kumalizia...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo...
Hellow wanachit chat
Mi mgalikoko ,kijana wa makamo, jinsia ya kiume ni, ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat?
Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them...
Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia,
itoshe...
Je unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo Yani wamekuacha.
Je utakuwa Karibu nao kwa kujipendekeza ili wakupe connection Au utaamua kujitenga nao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.