Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook...
18 Reactions
36 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa...
2 Reactions
17 Replies
187 Views
Well Miaka ya nyuma kidogo nikiwa A level nilipata manzi wa kizigua kwenye ndinga wakati huo kuona simu ya rangi ilikuwa msala,manzi alikuwa nayo sonny, wakati huo. Sijui ilitokea nini tukaanza...
6 Reactions
19 Replies
924 Views
Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi...
15 Reactions
112 Replies
3K Views
Evidence Is Now Appearing Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash WAS an Assassination MAY 20, 2024 The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a...
2 Reactions
5 Replies
133 Views
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja...
16 Reactions
43 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Niwape pole Ndugu zangu Naomba wajuzi mnijuze utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi/ pole na kushiriki mazsihi ya Rais wa Iran Ebrahimu Raisi aliyefariki karibuni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike. Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
19 Reactions
130 Replies
1K Views
Habari. Kwa wanaume ulitumia au unatumia mbinu gani kumridhisha mwanamke?
2 Reactions
6 Replies
47 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,636
Posts
49,668,099
Back
Top Bottom