Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema lilitokea tatizo kidogo kwa michango inayopitia M-Pesa lakini tatizo hilo limeshatatuliwa hivyo michango inaendelea kupokelewa.
Hadi sasa...
Wanajamii foroum nimekuwa nikiwafuatilia sana lkn sikuwahi kama mimi kupost hoja/ombi,kwa kweli mchango wenu ni mkubwa sana katika jamii,naomba mnisaidie mwenzenu nataka kujua bei za mashine ya...
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.
This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
Naomba kupata elimu kwa wataalamu wa barabara TANROAD kwa nini matuta yanayowekwa kudhibiti mwendo kwenye mteremko, yanawekwa hata upande wa pili wa kupanda mlima?
Nina maana kuwa bumps kama hizo...
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini...
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .
Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.
Mwanamke akikupenda...
Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua.
Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa...
Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO..
Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza.
Kwa mujibu wa World Health...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.