Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake
Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi...
Mzuka Wanajamvi.
Nimesikitika sana Marekani CIA kutaka kuipindua Serikali halali ya kidemokrasia ya Congo DRC.
Kumbe uzushi tunasikiaga hawa CIA wanafanya Africa kumbe ni kweli.
Tunawateteaga...
Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya...
Habari Wakuu!
Hali ni tete. Maji ya shingo pûa kwenye Ukingo wa maji.
Wanawake wengi huku mtaani wanapumulia mashine. Ingawaje wanajitutumua làkini hakuna matumaini ya kuchomoza,
Kula kwa jasho...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
Utangulizi
Elimu ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote. Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha kwamba watoto wengi wanapata fursa ya kusoma, hasa katika ngazi za msingi na sekondari...
Kanisa linadai picha hizo ni kwaajili ya kuvutia Ibadan ya watoto??.
Hapana!!! ... Kanisa linaanza kuingiliwa?.
.
.
.
Na huyu Ndio Pasta Mchome... Kwa tuliosoma Cuba , tunaelewa ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.