DODOMA - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax ameliambia bunge kuwa haIi ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji wenye urefu wa kiIomita 922.76, haitabiriki kutokana na...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu siyo utabiri kama ule aliofanya ndugu yangu mtangazaji nguli na mwandishi nguli wa Habari ndugu pascal mayalla aliyemtabilia Hayati Mwalimu Dr John Pombe Joseph...
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.
Kwa wabongo waliopigika...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nipo kwa nyumba ya kupanga nimeagiza mbuzi wa kufuga, hapo napoishi kuna jamaa naona anafungia mbuzi kamba wanajilea tu, sina kwa kuwalaza usiku ila mchana haina shida.
Nawaza nikiwaleta...
MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA
2018: Manchester City 🏆
2019: Manchester City 🏆
2020: Liverpool 🏆
2021: Manchester City 🏆
2022: Manchester City 🏆
2023: Manchester City 🏆
2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.