Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
Ukistajabu ya Musa utashangaa ya filauni huu ni msemo waliotumia wahenga na ndioa tunashangaa mbona kipindi cha mwenda zake dada alisumbua sana ila kwa sasa kamgusa mama tu watu wamempita naye...
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na...
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.
Kwa wabongo waliopigika...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tafadhalini sana mnisaidie utaratibu sahihi wa kujiunga na dini ya mayahudi yaani Judaism
Nimevutiwa sana na dini hiyo siyo tu kwa uwezo...
maji ni dutu inayotokea kiasili ina maisha marefu sana kwa muda usiojulikana maji hayaishi muda wake, hata hivyo kutokana na ukweli kwamba chupa za maji za plastiki huchuja kemikali ndani ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.