Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando?
2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema?
3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
Itsa WEEKEND. Tuanze nayo hivi basi ...
1BR
Sarah anatafuta makazi mapya hapa jijini Los Angeles lakini kazi hii inakuwa ngumu sana. Kwanini? Pesa ndogo.
Akipata panapofaa, basi kodi ni kubwa...
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea.
Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention
Dar
Arusha...
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali
Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia ...
*Unalalamika kama Yeye
*Unaongea sana kama Yeye
*Unaongozwa na hisia kama Yeye
*Una wivu sana kama Yeye
*Huna misimamo kama Yeye
*Una matiti na kitambi kama Yeye
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.