Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
Katika mambo yanayoshangaza ni namna Biblia inavyoonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo ndani yake. Swali la kujiuliza ni je vitabu hivyo vimetajwa tu havipo au vimeondolewa? Na kama...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Salaam, Shalom!!
Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
Natumai wote mnaendelea vizuri na kwa ambao mko na changamoto Mungu awafanyie wepesi mrudi kwenye hali zenu za kawaida nawaombea🤲🏽🤲🏽..
Najua sio jukwaa husika lakini nimeliweka hapa kwasababu ni...
Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.