Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzuka Wanajamvi! Wanajamvi nakuja kwenu kuwaomba mnisaidie kuchagua kati ya haya majina niliyoyaoroshesha ni lipi? Nataka kubadilisha majina. Nataka tu moja kutoka kwenye hii orodha chini. 1...
7 Reactions
27 Replies
237 Views
Peace, Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais"...
1 Reactions
10 Replies
106 Views
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri. Nimekuwa...
1 Reactions
3 Replies
26 Views
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
1 Reactions
72 Replies
2K Views
Mama Jennifer shikamoo. Mimi naitwa Lila (sio jina halisi) na kabla ya kuja Dar nilikuwa naishi kijijini kwetu mkoani Singida. Mwaka jana nilibahatika kuchumbiwa na kijana anayeitwa Shiradi...
2 Reactions
15 Replies
400 Views
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda...
12 Reactions
106 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau? Niwatakie...
2 Reactions
29 Replies
415 Views
Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi. Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo...
4 Reactions
27 Replies
334 Views
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti...
15 Reactions
179 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,343
Posts
49,658,752
Back
Top Bottom