Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku...
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.
Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali
Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia ...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.