Jamii forum Wasalaam,
Tanzania wasalaam,
MUUNDO WA UONGOZI KWENYE MOVEMENT SAMIA
========================
Movement Samia itakuwa na Kanda kumi na moja ( 11 ) za Kiuongozi kama ifuatavyo...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi.
Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa...
1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando?
2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema?
3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima...
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio.
Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.