Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!!
Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna lidude limewekwa bungeni nimeona hata wabunge wenyewe wanashangaa.
Zaidi ya upigaji kwa aliyelileta je roboti lile MDEBWEDO linamanufaa gani kwa bunge?
Kama manufaa yapo basi Serikali iwekwe...
Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule.
‘He was sexually abusing us’: 6...
Habari wana jamvi.
Sijajua hii ni kwa account yangu au na nyie pia.
Ni kwamba kila nikiingia kwenye jukwaa la siku hizi kila nikiingia kwenye jukwaa la "GREAT THINKERS" sioni kiepngele kinacho...
Juzi gazeti la Mwananchi lilichapisha habari kuwa mke wa Balozi Pereira, Mwanaamina Farouk Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana. Mtakumbuka kuwa huyu mwanamke amekuwa kwenye vyombo...
Vitu vingine vinatia aibu, maana vinareflect IQ vya yule anaevifanya, je, ndio tuseme watunga sera wa TRA wana IQ ndogo?
Kodi ya majengo kwa nyumba ya chini ni shs.10,000/= tu, lakini gharama ya...
Habari za wakati huu wana jamii forum bila shaka wote ni wazima na wale ambao mmeamka na changamoto mbali mbali Mungu awafanyie wepesi.
Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni wa wananchi tunaoishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.