Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana.
Hivyo basi...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Tathmini ya Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 60 ya...
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu.
Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakazi wa Mbagala Mzinga Wamefunga barabara ya kutoka Dar kwenda Mikoa ya kusini kwa madai ya kuchoshwa na ajali kwenye eneo lao, jambo hilo limesababisha foleni kubwa ya Magari.
Jambo hilo...
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.