Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tuu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine ikawa...
0 Reactions
4 Replies
30 Views
Hii 👇 ni tukio la Leo 📍Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu...
3 Reactions
27 Replies
834 Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
28 Reactions
249 Replies
4K Views
..Lissu amefanya jambo kubwa sana kuitembelea familia ya Balozi Kasanga Tumbo. ..sijui ni wangapi wanajua Balozi Christopher Kasanga Tumbo ni nani. ..Na kwanini Tundu Lissu ameamua kutembelea...
11 Reactions
35 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya...
2 Reactions
22 Replies
679 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Nape kichwa panzi huko vijijini vocha wanaweka mara moja lwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao. Usingeze kodi kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba. Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda...
25 Reactions
69 Replies
749 Views
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
6 Reactions
60 Replies
917 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,083
Posts
49,622,084
Back
Top Bottom