Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi...
6 Reactions
22 Replies
275 Views
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani. Hapa ni Biden amepitisha furushi hili. I just imposed a series of tariffs on goods made in China: 25% on steel and aluminum, 50% on...
11 Reactions
124 Replies
3K Views
Ndiyo maana jamaa wanasema hii Imani ni biashara.
0 Reactions
13 Replies
355 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
70 Reactions
439 Replies
12K Views
Waziri Mkuu wa Slovakia mbaye ni mkosoaji mkubwa wa upelekaji misaada ya silaha Ukraine amepigwa risasi nne wakati akihutubia wananchi na amekimbizwa hospital na helicopter kwa matibabu zaidi...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki Hadi kwao 😁😁😁 My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa 😂😂 ==== CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza nia yake ya kulitwaa...
3 Reactions
23 Replies
414 Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
0 Reactions
79 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amekwishafika Mkoani Kigoma kwa ajili ya Uzinduzi wa ile Kampeni kabambe ya 255, ambayo itaendeshwa kwa njia zote ikiwemo ya ardhini na anga, huku...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
28 Reactions
255 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,085
Posts
49,622,190
Back
Top Bottom