Baada ya kutoka dar to arusha nilipita manyire kwa mjomba baadae nikaingia njiro kwa ndugu yangu mtinange kabla sijafika kwa ndugu yangu nikapumzika kwanza pale The Pillars Lounge nipate mvinyo na...
Ni yule aliyekuwa zezeta wa Mercy once again.
Ilikuwa mwaka 2016 kuna dem flan wa kitusi walikuwa wamehamia kijijini kwetu wakitokea huko walikotoka.
Sasa bahna huyo Binti ni mrefu mwembamba...
Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es...
Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya Shinikizo la juu la damu ambayo uadhimishwa kila Mei 17, kila mwaka, Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka hospitali ya JKCI,Dr Tulizo Shemu amesema...
Sasa hivi kumekua na ongezeko kubwa la baadhi wa watu kuwatumia watoto wadogo kujipatia kipato kwa kuomba omba.
Wengi kati ya hao wanao ombaomba wanaonekana wanauhitaji wa chakula na fedha...
Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja.
Haya mwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Nape Nauye waziri wa Habari na Mawasiliano amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika...
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.