MV Bukoba ilikuwa moja ya meli kubwa katika ziwa Victoria. Ilikuwa ina uwezo wa kusafirisha watu zaidi ya 400 na tani zaidi ya 100.
Meli hii ilikuwa ikiondoka Bukoba siku za Jumatatu, Jumatano na...
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee.
Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu
2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo
3) Kibaolojia kuna...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ukitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama...
Oleksandr Usyk anakua UNDISPUTED CHAMPION wa kwanza wa Heavyweight (Boxing) kwenye 4 belt Era, mara ya mwisho Undisputed Champion kwenye division hii alikuwa Lennox Lewis mwaka 1999 wakati wa...
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.