Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu! Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala...
17 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja...
186 Reactions
28K Replies
2M Views
Haya haya nukuletea hapa nchi kubwa au maarufu duniani wenda ulikuwa hufahamu kuwa vyeo vyao vya Urais ni kama bosheni tu havina mamlaka makubwa kulinganisha na vyeo vingine. No.1 China Tuanze na...
1 Reactions
8 Replies
114 Views
Kosa langu nini ni Vannesa? Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa? Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
7 Reactions
103 Replies
2K Views
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na...
18 Reactions
172 Replies
3K Views
A
Mimi ni Mkazi wa Mbutu Kigamboni kwa namba ya Wanambutu. Changamoto ya Mbutu ni Barabara ya kutoka Dege kwenda Mkwajuni mpaka kwenye Machimbo ya Vifusi. Kwanza naomba niwafahamishe yafuatayo...
1 Reactions
2 Replies
78 Views
Salaam wana JF, k Kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hizi kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia coz...
5 Reactions
30 Replies
310 Views
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
11 Reactions
120 Replies
837 Views
Mchezaji aliyewahi kuichezea Simba kwa siku 54 Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya Simba na anatakiwa kulipwa milion 500 za Kitanzania kwa kukiukwa mkataba wake wakati anachezea...
4 Reactions
22 Replies
531 Views
Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
11 Reactions
128 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,820
Posts
49,673,615
Back
Top Bottom