Kwa miaka zaidi ya ishirini wananchi wa kata hizo hapo juu kwenye manispaa ya Kigamboni tumekuwa kwenye hatari za maisha ya umiliki wa ardhi yetu umekuwa hauna hatma. Ilianza kwa Jeshi miaka ya...
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
Chanzo: Adobe Stock
UTANGULIZI:
Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo...
Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
Evidence Is Now emerging Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash WAS an Assassination
MAY 20, 2024
The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a...
Habar wanajukwaa mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo no kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa Sina wazaz naombeni mnisaidie jamani...
MV Bukoba ilikuwa moja ya meli kubwa katika ziwa Victoria. Ilikuwa ina uwezo wa kusafirisha watu zaidi ya 400 na tani zaidi ya 100.
Meli hii ilikuwa ikiondoka Bukoba siku za Jumatatu, Jumatano na...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.