Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
24 Reactions
205 Replies
5K Views
Ajira za nyaluland ziwe za wanyalu pekee lakini ajira za Tanzania ziwe za wanyalu, wazanzibar na watanganyika tena wanyalu na wazanzibar wawe wanapewa vipaumbele. Ardhi ya Nyaluland iwe ya...
1 Reactions
4 Replies
33 Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
8 Reactions
75 Replies
768 Views
Habari Wakuu? Nategemea kwenda Miono . Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani? Ahsante sana kwa msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee...
7 Reactions
19 Replies
228 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu. 2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku. 3. Unapo ongea na mtu...
17 Reactions
42 Replies
525 Views
Moderators naomba msifutle uzi wangu labda kuhamisha kama itawezekana.. Natumai wote mnaendelea vizuri na kwa ambao mko na changamoto Mungu awafanyie wepesi mrudi kwenye hali zenu za kawaida...
5 Reactions
9 Replies
74 Views
Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? 1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule...
4 Reactions
45 Replies
824 Views
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini...
19 Reactions
255 Replies
23K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,587
Posts
49,635,493
Back
Top Bottom