Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Natumai wote mnaendelea vizuri na kwa ambao mko na changamoto Mungu awafanyie wepesi mrudi kwenye hali zenu za kawaida nawaombea🤲🏽🤲🏽..
Najua sio jukwaa husika lakini nimeliweka hapa kwasababu ni...
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake...
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu.
Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
Nikiwa naendelea na makusanyo ya pesa yangu, ya kufikia ndoto ya ujenzi wa ghorof, nimepata ramani hii na kiwanja changu ni Mita 16 kwa 14.
Je wakuu hii Ramani hapa inakaa kwa ukubwa wa kiwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.