Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama chama tegemeo kwa wengi walio nje ya CCM,tunategemea CHADEMA mtaendelea kuwa wamoja katika vikao vyenu vya uchaguzi wa ndani.Hatupendi kusikia malumbano na maneno yasiyo na tija kwa ustawi wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu 2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao 3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta...
28 Reactions
33 Replies
576 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia...
3 Reactions
37 Replies
225 Views
Ni ushauri tu Pale Makumbusho ipo gari ya TANU aliyokuwa anaendesha Babu yangu mzee Kamtawa 😃😃😃 Gari ya Jasiri TAL iwekwe Makumbusho nasi wenye mapenzi Mema tutamchangia anunue gari lingine la...
0 Reactions
4 Replies
70 Views
Wakuu Nina hili tatizo muda mrefu…. hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale. Nashukuru mungu ni mwanaume ningekua demu nadhan ningeteseka. vitu ninavoogea 1.Deto ya maji 2.Sabuni ya...
1 Reactions
14 Replies
78 Views
Habari za mida hii?? Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuni ruzuku uhai. Mara kadhaa nimeskia wanaume wenzangu wakilalamika kuwa wake zao hawaamini kabisa kuwa hawana hela katika kipindi chao cha...
2 Reactions
16 Replies
406 Views
Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 ...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe. Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma? Jitahidi mtumishi mwakani uachane na...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Cjawahi kuona mapigano hatari kw series zote zaidi ya hawa.
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,636
Posts
49,636,760
Back
Top Bottom