Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo.
Leo Simba imepata...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,Tumieni mchango wa kumnunulia Lisu Gari mpyaa Kali.
https://twitter.com/MariaSTsehai/status/1791520201558647109?t=fhOZdGURQsOZ-LxB520LiA&s=19
Angalizo...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Kwa mtazamo wangu bila kwenda mbali, nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness!. Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake, kitu...
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.
Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona...
Hellow Wana JF
Nisiwe na maneno mengi Leo nimekuletea bidhaa ya korosho inayotoka mkoani mtwara,
Korosho nzuri na unazipata ukiwa hapahapa daresalam
Kwa bei ya 20,000/= tu Kwa 1Kg
Kwa...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja
Bunge limepoteza mvuto kabisa
Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge
Nakumbuka kabla ya bunge
Kuwa la chama kimoja
Wakati huu wa bunge la bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.