Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ni mahakama ya mwisho ambayo iliundwa kuchunguza na kuwashtaki watu wanaotuhumiwa kwa mauaji ya kimbari, uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. ICC...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
3 Reactions
9 Replies
117 Views
Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
8 Reactions
108 Replies
2K Views
Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimatiafa Bwana Khan kwenye kipindi cha CNN anasena alionywa mwanzoni kabisa kwamba mahakama ya ICC ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kina Putin...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema Tff ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
0 Reactions
2 Replies
46 Views
Habar wana jamii forum polen na majukumu leo nimeona nije na hii mada ngumu naomba kwa wenye uzoefu mnipe mbinu na changamoto za hii biashara Nina mpango wa kufungua kiwanda cha PET BOTTLE...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na...
3 Reactions
12 Replies
834 Views
Basi Yesu akazibinua Meza za Walanguzi na kusema " Nyumba Yangu ni mahali pa Sala LAKINI Nyie mmeifanya kuwa Pango la Wanyang'anyi" Mwenye masikio na Asikie Neno Kristo anayaambia Makanisa Mungu...
6 Reactions
19 Replies
278 Views
Nyumba ya kisasa inauzwa kibaha maili moja........ Ina vyumba vitatu kimoja self Sitting,dining,kitchen & public toilet Gypsum na tiles vyumba vyote Bei mln 46 tu Document:Sales agreement 0675...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya. DAR ES SALAAM. Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
13 Reactions
66 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,583
Posts
49,666,805
Back
Top Bottom