Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
17 Reactions
173 Replies
4K Views
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru...
7 Reactions
45 Replies
873 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
20 Reactions
126 Replies
3K Views
Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani...
3 Reactions
34 Replies
391 Views
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
1 Reactions
4 Replies
61 Views
Nimeweka uzi wa kumuomba nguli wa AI na robotics na teknolojia kwa ujumla mh Nape atoe msaada kwa polisi Tanzania kwenye mfumo wa ulioshindwa kupatikana kwa toka siku ya kwamza mods wameufuta. Huu...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 ...
2 Reactions
21 Replies
345 Views
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,661
Posts
49,637,391
Back
Top Bottom