Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
0 Reactions
16 Replies
364 Views
Nimeweka uzi wa kumuomba nguli wa AI na robotics na takmolojia kwa ujumla mh Nape atoe msaada kwa polisi Tanzania kwenye mfumo wa ulioshindwa kupatikana kwa toka siku ya kwamza mods wameufuta. Huu...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Jinamizi la umasikini ni jinamizi la kale sana ambalo limeshika jamii ya mtanzania kwa sehemu kubwa. Ukiweka familia 10 utakuta zenye afadhali hazizidi 2. Kihistoria, tokea awamu ya kwanza jamii...
22 Reactions
53 Replies
814 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia...
6 Reactions
51 Replies
342 Views
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
16 Reactions
155 Replies
3K Views
Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu? Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums...
2 Reactions
76 Replies
2K Views
Licha ya Cristiano Ronaldo (39) kuelekea mwishoni mwa maisha yake ya kucheza soka lakini bado katika suala la malipo yupo juu, anaongoza kwa kulipwa kuliko wanamichezo wengine wote ndani ya miezi...
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
17 Reactions
114 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,661
Posts
49,637,391
Back
Top Bottom