Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na...
Chama cha ACT-WAZALENDO kilianza vizuri katika ujenzi wa chama hasa ngazi juu lakini leo chama cha ACT WAZALENDO kimeshusha madaraka kwa viongozi wa majimbo 264.
Majimbo haya 264 ambayo walichagua...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara...
Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi...
Nina watoto 7 kutoka kwa wanawake wanne wote watoto nawalea kawaida yangu siamini mwanamke kulea mwanangu kwasbb ya kupachika chuki, na ubaguzi ila nilicho dhibitisha kwamba wanangu wote vitabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.