Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6...
92 Reactions
2K Replies
534K Views
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
7 Reactions
83 Replies
890 Views
Hivi mnawekaje Tanki la maji mbele ya jukwaa!? Hili Tanki linazuia watazamaji ikiwapendeza tafadhali lihamisheni hapo.
4 Reactions
8 Replies
499 Views
Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani...
13 Reactions
90 Replies
2K Views
Yaani umeonana tu mtu mlisoma nae na hamjawahi kuonana takribani miaka 15, ghafla tu anakwambia mwaka huu naoa kadi yangu ya harusi hii. Naomba namba yako nikuunge kwenye group. Miaka yote hiyo...
13 Reactions
40 Replies
645 Views
Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 ...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Anaemia/ Upungufu wa Damu Je unajua upungufu wa damu huchangia 14.5% ya vifo vya kinamama(Martenal Deaths) Tanzania? Kiasi cha damu pungufu ya 11g/dl uhesabika upungufu wa damu kwa Mjamzito...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shellukindo, Mei 17, 2024 amefungua Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda...
0 Reactions
2 Replies
77 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,693
Posts
49,638,588
Back
Top Bottom