Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima hautapike. Sasa na mimi namuenzi Lisu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
10 Reactions
91 Replies
591 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
13 Reactions
88 Replies
4K Views
Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran...
4 Reactions
14 Replies
706 Views
Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa...
0 Reactions
14 Replies
197 Views
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe...
5 Reactions
37 Replies
904 Views
Habari wana Jf tupeane pole juu ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchini. Juzi kati nilipata msala mdogo amabao ulinipelekea kuwekwa Selo pale kituo cha polisi msimbazi. Baada ya kusolve na...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
NOTE: Hatuabudu Sanamu, tunaiheshimu tu! Je, Ukristo unaruhusu sanamu? Biblia inasemaje kuhusu sanamu? Mariam ambaye alimzaa Yesu bila kukutana kimwili na Yusufu , kama maandiko ya Biblia...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
7 Reactions
52 Replies
568 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
156K Replies
8M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,616
Posts
49,667,782
Back
Top Bottom