Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Oya wanajamvi ...Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop...oy muwachane TU kama hawana mpango wa...
Habarini,
Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa...
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024.
"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari...
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)
Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022.
Ndoa hiyo...
Wakuu Leo nimelia sana Baada ya kufuatilia record za timu zenye makombe mengi ya Ligue na kuja kugundu kuwa Simba Wana makombe = 22........lkn wababe Yanga Wana makombe = 30 ......na ligi ilianza...
Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge. Hii imekaaje? Mh. Naibu spika anauliza kama hoja imeungwa mkono na jibu ni ndiyo kwa idadi hii!!
Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao...
Imekua ni dhana iliyoko kwenye vichwa vya watu wengi hasa watumishi, wapya na wengine wazoefu kuwa kufanya kazi kwenye kata ni jambo gumu sana kuweza kulitekeleza, na hiyo inathibitika kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.