Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huu mkoa haukui upo,Upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua ,wilaya ya Songea imepoa mji uko vile ,vile miaka nenda rudi!!! Of course kuna vyuo lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
11 Reactions
93 Replies
3K Views
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge. Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi? Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
6 Reactions
63 Replies
1K Views
Wanasema imani n kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo n bayana ya mambo yasioonekana Dah nnina dada yangu kaolewa kama mwez umepita jana kapiga mumewe kahamishiwa dodoma.... Hapo tuna mwingine...
0 Reactions
10 Replies
146 Views
Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
5 Reactions
66 Replies
917 Views
Naomba connection ya anayejua wapi naweza pata chupa hizi na zina ujazo gani?
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Jina lake halisi ni Fatuma Binti Baraka, inakadiriwa kua alizaliwa mnamo mwaka 1910 huko Unguja. Alikiri kujifunza muziki kwa mwanamuziki wa zamani maarufu kama Sitti binti Saad. Mbali na kuimba...
3 Reactions
6 Replies
256 Views
Unaambiwa huko ccm kila Jini na kiti wake, Yaani kila Shetani na Mbuyu wake. Noma kweli! Ushahidi huu hapa
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu? Ninauza Tv's mbili za inch 32 Brand Hisense na Ps3 moja kwa 900,000 tu! Nilikuwa nachezesha PS mtaani (DSM) lakini nimepata ajira na nina hama Mkoa. Unaweza kuja...
0 Reactions
1 Replies
94 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,392
Posts
49,630,695
Back
Top Bottom