Salary 1.5 m net
Familia mme ,mke ,mtoto mmoja , mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja
Nyumba ya kupanga kodi lak kwa mwezi.
Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwezi
Malipo awamu tatu...
Aaah yamenifika hapa!
Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone.
Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa...
Anaandika Zakazakazi,
YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22
Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi.
Sababu ni hizi
𝗪𝗶𝘃𝘂
Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza...
Niende Moja Kwa Moja kwenye maada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.