Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
12 Reactions
18 Replies
339 Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye maada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi...
1 Reactions
3 Replies
16 Views
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za...
0 Reactions
4 Replies
90 Views
Salary 1.5 m net Familia mme ,mke ,mtoto mmoja , mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja Nyumba ya kupanga kodi lak kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
0 Reactions
4 Replies
36 Views
Shule hizi kwa miji ya Arusha na Moshi zipo kama International School of Moshi, Arusha Meru international school, Sunflower international school, ccis, Tanganyika schools, Jaffery academy...
94 Reactions
229 Replies
16K Views
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
20 Reactions
2K Replies
205K Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
18 Reactions
71 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Yaani umeonana tu mtu mlisoma nae na hamjawahi kuonana takribani miaka 15, ghafla tu anakwambia mwaka huu naoa kadi yangu ya harusi hii. Naomba namba yako nikuunge kwenye group. Miaka yote hiyo...
1 Reactions
2 Replies
10 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,343
Posts
49,629,435
Back
Top Bottom