Habari wadau, naimani kila mmoja yuko poa na kama mambo hayajakaa sawa basi hayo ni mapito tu, yatapita.
Katika maisha ya sasa ujasiriamali ni jambo mtambuka, linahubiriwa kila kona mpaka kwenye...
Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule.
‘He was sexually abusing us’: 6...
Wakuu habari, naombeni msaada wenu, iko ivi kuna manzi niko nae, ex wake alichukua simu ya manzi wangu na kuni block kwenye calls za kawaida, yaank nikipiga au manz akicheki simu zinakuwa zinakata...
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja
Bunge limepoteza mvuto kabisa
Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge
Nakumbuka kabla ya bunge
Kuwa la chama kimoja
Wakati huu wa bunge la bajeti...
Aaah yamenifika hapa!
Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone.
Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa...
Nimekuwa na marafiki na ndugu zangu wa karibu walio karibu sana na viongozi wa CCM na Serikali, hasa mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, na wakurugenzi wa mamlaka mbalimbaki za Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.