Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
1 Reactions
24 Replies
143 Views
Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
23 Reactions
232 Replies
5K Views
Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na...
0 Reactions
7 Replies
111 Views
Ati otikiii🤣🤣👇👇
3 Reactions
24 Replies
543 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
3 Reactions
68 Replies
769 Views
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge. Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi? Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
7 Reactions
69 Replies
1K Views
Jamaa wanasema huduma imerudi ila kiuhalisia ni mapichapicha tu hakuna lolote bado hali ni mbaya.
0 Reactions
6 Replies
50 Views
Karume Day. Angalia mahojiano ya historia ya Abeid Amani Karume na uhusiano wake na watu wa Dar es Salaam 1950s: https://youtu.be/mDVeLEooKwE?si=nBlCX_hmGUwKoprZ
0 Reactions
0 Replies
18 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,416
Posts
49,631,262
Back
Top Bottom