Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
1 Reactions
19 Replies
167 Views
Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
2 Reactions
40 Replies
427 Views
Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
19 Reactions
48 Replies
688 Views
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
1 Reactions
15 Replies
340 Views
Haya ndugu zanguni kwa wale waliosoma elimu za lugha ya kiarabu kama nahaw swarfu balagha tukutane hapa kwaajili ya kukumbushana baadhi ya mambo katika lugha, Tutumie jukwaa hili kwa manufaa sio...
2 Reactions
5 Replies
49 Views
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
7 Reactions
144 Replies
3K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
127K Views
Oya wanajamvi, Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop, oy muwachane TU kama hawana mpango wa kuajiri...
15 Reactions
41 Replies
801 Views
Wanajf Ninaomba mnijuze taratibu za kisheria za kufuata ili kununua na kumiliki chombo cha moto mfano bodaboda. Ninauliza kwa sababu wauzaji wamekuwa wengi,vinavyouzwa navyo ni mchanganyiko...
0 Reactions
5 Replies
48 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,358
Posts
49,629,864
Back
Top Bottom